Karibu katika tovuti ya allgood.org.au


Tovuti hii inaweza kukueleza kuhusu hepatitis B, hepatitis C, HIV na Vimelea vya maambukizi ya kingono (STIs). Unaweza kupata taarifa kwa kubonyeza kushoto kwenye orodha.

Kama unataka kufahamu zaidi kuhusu hepatitis B, hepatitis C, HIV au STI bonyeza orodha ya huduma.

Kama unataka kufahamu zaidi kuhusu hepatitis B, hepatitis C, HIV au STI bonyeza orodha ya huduma.


Bonyeza kwenye ‘tafuta huduma’ kumtafuta daktari au kituo cha kupima katika kitongoji chako. Unaweza kubaini kama daktari anaweza kuongea Kiswahili.



Unaweza kupata mashirika ya kijamii ambapo unaweza kuongea na mtu anayefahamu kuhusu kuishi na HIV au hepatitis. Bonyeza kwenye kitufe cha ‘pata msaada katika jamii’


Tovuti hii haiwezi kukueleza kama una hepatitis B, hepatitis C, HIV au STI. Haiwezi kukueleza kama unahitaji dawa. Unapaswa kumwona daktari kama una wasiwasi au nenda kwenye kituo cha upimaji na omba kupima


Nini unahitaji kufanya?


Next page

Where can I get help and advice?


Get support from the HIV community